Kwa vile utumishi huu wa Kiswahili bado ni mpya, kumbukumbu hili
bado halijapata taarifa nyingi. Ukosapo unachotafuta waweza kutizama
kwenye kumbukumbu za Kinorwe, Kiingereza na Kispaniola ambazo
zilianzishwa
Novemba mwaka wa 1994. Taarifa za Kiswidi na Kijerumani pia zapatikana
kutoka Desemba 1995.
Waweza kuchanganya maneno unayotafuta kwa kutumia OR (AU),
AND (NA) na NOT. (BILA)
Kwa mfano, ukiandika aaa AND bbb OR ccc utapata taarifa zote zilizo
na maneno aa na bb, na pia zote zilizo na neno ccc. Hii na sawa na
( aa AND bb ) OR cc.
Ukitumia aaa OR bbb AND NOT ccc utapata taarifa zote zilizo na maneno
aaa na bbb lakini bila neno ccc. Hii yaweza kuandikwa hivi, aaa OR ( bbb AND (NOT ccc)).
Waweza pia kutafuta sehemu kadhaa za maneno kwa kitumia *. Hivi ni
kusema kuwa aa* yasimamia maneno yote yanayoanza kwa aa.
|